Kuona chuya ndani ya mchele ni kawaida lkn kuona mawe meupe ndani ya mchele ni kazi sasa vai mpaka uje ulione hilo jiwe leupe unaloliita rafiki utakuwa ushaumia kuwa makini sana Reply
Tipo pamoja
Jamani bilamungu kukupa macho yakuona iii filam ya dunia kama unampenda mungu laiki hapa
Haya wasoma comment sasa😂😂 weka like
Naona watu wameanza kutekwa upyaaa
Haha😂 ila manyanya mmh tutamchoka et😊
Mat na Leyla yup yupo vzur
Ayo maombi yanavyo mtizama manyanya😮
Manyanya is a future Steven kanumba
Pole mpendwa mungu ndo muweza wakila kitu atatenda
Muddy muzunguuuuuuuuuuuuu paka la baaaaa anatisa
Aisee bora mchawi kuliko mnafiki nakuonea huruma vai
Likes foundation oyeeeeeh😅😅😅 Kila mmoja anatak like2
Manyanya kua kidume basi kaza
C'est monsieur mais
Uyu mke wa boss anataka manyanya apigwe bastola ya mboro walahi
Me ndo mana sitaki marafiki 😢😅
Watu wanafki nyie 😢
Sekela simpendi
Eeeeh mungu tuepushe na marafiki wa aina hii kawaepushe na wot wanao tazama movie hii
Vocha laki 2😂😂
Manyanya mwogope mungu 😂😂😂😂😂
Manyanya wewe❤❤
Kisinza sio mhongaji huyo ni Kiiimwaga 😂
Utakufa vibaya nakuhurumia
Manyanya amejimwagia
Mke wamtu kufanyiya mapenzi kwenye gari hakuna zarau kama iyo
Naiyo ipo kwali sio picho tu hâta kwanye maisha yakawaida weke zetu wanapitiya
Ata huyu dada ni zaid ya mchawi ata kase akasome
Lakin hayomajalib c alitaka kamseleleko
Paka la baaa mbn kama D moja umeacha kwa mama muuza chapaaa sasa
Kuona chuya ndani ya mchele ni kawaida lkn kuona mawe meupe ndani ya mchele ni kazi sasa vai mpaka uje ulione hilo jiwe leupe unaloliita rafiki utakuwa ushaumia kuwa makini sana
.sekela naomba awe dada angu 😅😅😅
.ila sekela kama kweli 😅 ajui sema bac nimefurah mwaji kukichap
ajabu ajabu
aaaaaah sw
alafu wewe una mutakiya Nini manyanya?😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mbwa mimi tafuta hela
manyanya bhana…
kivumbi leo😂😂😂